Usiku wa kufurahi na kula pamoja kumshukuru Mungu kuanza Mwaka. Tukio hili hukutanisha wanafamilia ya Mungu kwanza kutoka pande mbalimbali za dunia. Katika usiku huu tutasikiliza shuhuda na habari za matendo makuu Mungu aliyoyafanya kwa watu kupitia huduma hii ya Mungu Kwanza.